Naibu rais William Ruto amesema serikali ya Jubilee iko tayari - TopicsExpress



          

Naibu rais William Ruto amesema serikali ya Jubilee iko tayari kufanya kazi na wakenya wote bila kuzingatia mirengo yao ya kisiasa ili kufikia lengo la ufanisi .Ruto amesema uongozi wa Jubilee uliahidi kuwaunganisha wakenya wote na kuhakikisha kuwa kuna mazingara bora yatakayofanikisha ajenda ya ukuaji kwa manufaa ya kila mkenya.Ameongeza kuwa huu ni wakati wa siasa za taifa hili kubadili kutoka siasa za kikabila na badala yake wakenya wajihusisha na siasa za kuuza sera.
Posted on: Sun, 30 Jun 2013 08:52:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015