Nakumbuka Fred Msungu uliwahi kuandika kuhusu Paul Kagame na jeuri - TopicsExpress



          

Nakumbuka Fred Msungu uliwahi kuandika kuhusu Paul Kagame na jeuri yake... Ukagusia kuhusu hatma ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Najiuliza sijui ulifunuliwa, ulihisi, ulutabiri, ulitafakari au sijui ulifanya nini wee... Lakini kwa taarifa yako inaandaliwa rasimu ya katiba kuongoza ushirikiano wa kisiasa baina Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi... Tanzania tupwa kule! Na hii inafanywa kwa uratibu wa bwana Kagame japo anayeonekana ni Museveni! Yaani nimechoka ghafla! thecitizen.co.tz/News/Dar-ponders-its-fate-in-EAC/-/1840392/2034296/-/10gp7k3z/-/index.html
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 21:18:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015