"Napenda kurudia kusema kuwa mimi binafsi na Serikali yetu ya - TopicsExpress



          

"Napenda kurudia kusema kuwa mimi binafsi na Serikali yetu ya Tanzania hatuna ugomvi wala nia yo yote mbaya na Rwanda. Tunapenda tuendelee kuwa na uhusiano mzuri na Rwanda. Labda wenzetu wanalo lao jambo dhidi yetu ambalo sisi hatulijui. Maana na sisi tunasikia mengi yanayozungumzwa na kudaiwa kupangwa kufanywa na Rwanda dhidi yangu na nchi yetu. Hatupendi kuyaamini moja kwa moja tunayoyasikia lakini hatuyapuuzi." Very Strong Statement by H.E Dr Jakaya M Kikwete @jmkikwete
Posted on: Sat, 03 Aug 2013 07:00:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015