Nash mc bd kaz nafanya na bantu ndo wanangu znawaka kwa xana - TopicsExpress



          

Nash mc bd kaz nafanya na bantu ndo wanangu znawaka kwa xana 2napuliza mary na baba yake juana njoo unkute studio npo na rayhasmu..../relax km msechu na kdumu safna la nuuh utaangamia humu na wachukua ndogo sio gop lawama nisha toroka police ostabay mchana ndo sembuse ww mtoto mzur wa mama utazngua k2 gan bantu bonge la chama.../mikto nnayo wapa naibuka na zama huu mzki wa vichaa 2po milembe sanaa drp zao na chomoa shuka lao na chana.../huu mjengo ulotokeza unawalegeza vnabo wa sio tambua km nash n berro ktambo.../uknkoxa tmk np bantu ukonga nimesz na sevento na kizuga fam oya islam nyonga.../sio siri wa chokoo wananijua kabsa nawakilisha dsm mpka sku nkifa //nASHMC_OVER
Posted on: Wed, 02 Oct 2013 06:08:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015