Ndege mzuri huvutia kwa rangi yake tunda tamu huliwa kwa ladha - TopicsExpress



          

Ndege mzuri huvutia kwa rangi yake tunda tamu huliwa kwa ladha yake mti mzuri hupendwa kwa kivuli chake na mtu mwema hupendwa kwa ukarimu busara upendo na tabia yake nakuombea MUNGU akupe hekima kama sulemani, imani kama Ayubu akulinde ktk tundu la simba kama Daniel akupe ujasiri wa Samson dhidi ya wafilisti akuhifadhi kama Yona ktk tumbo la samaki akunusuru kama Nuhu na gharika kuu akupe ushindi kama Musa dhidi ya Farao akubariki kama IBRAHIMU" nakutakieni siku njema marafiki.
Posted on: Thu, 01 Aug 2013 05:51:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015