Ndio maana tunasema kua,Tanzania hatuna amani,huwezi kusema - TopicsExpress



          

Ndio maana tunasema kua,Tanzania hatuna amani,huwezi kusema unaamani wakati wananchi wako wanaishi katika mazingira magumu kama hayo,huko serikali na mafisadi wakinufaika na madini,nin maana ya kunufaika na migodi kwa wananchi?,sehem yenye mgodi wananchi wake wanapaswa kupata huduma zote za kijamii,lkn wananchi wakichoka serikali inatumia jeshi la polisi linalofananishwa na mtumiaji wa kondom...............
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 17:49:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015