Nimekuwa kwa maombi ya mashishi ya rebeca mkeo richard isaboke - TopicsExpress



          

Nimekuwa kwa maombi ya mashishi ya rebeca mkeo richard isaboke mwenya ma anga yake ndo imeanza kule New Jearsy USA ambapo tumeshaa maliza mazungumzo hapa kenya nyanchonori.kwa wale wenye tuko kenya tumeanza kupokea programmes na mazungumzo live kutoka marekani kwa njia ya settilite mpaka watakapo mzika mwendo wa sa tisa tisa unusu usiku wa leo .RIP.poleni richard isaboke and 3 sons and the diaspora family.
Posted on: Mon, 14 Oct 2013 14:09:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015