PLIZ NISAIDIENI..... Nilikutana na kadem flani Mjini nikamkatia - TopicsExpress



          

PLIZ NISAIDIENI..... Nilikutana na kadem flani Mjini nikamkatia akakubali.. nikakapeleka Gheto kwangu tukalale only one night... Sasa dem kufika kwangu..... akaswich off simu yake... hiyo night ikapita.. next day akanunua simcard nyingine. Sasa next day kufika.... dem akavaa short yangu akafua nguo zake... sasa i thought zitakauka aende...dem inafika 6 pm bado hana mpango wa kuenda.... Next day nikamuuliza kama ataenda.. akaniambia chuo life ni freestyle... Haiya...so hana haraka. Sasa hii ni siku ya tano...bado dem hana mpango wa kutoka.. amebuy series kama kumi za kuwatch,ashapanga place nguo zake zitakuwa zikikaa akishabuy, mlango ukibishwa ni yeye anaenda kufungua.. sasa nimemwambia nataka kufika ocha, akanishoo nisikae more than a week coz ataboeka kukaa solo...Sasa nimepata hii text....hun ukitoka job uje na curtains turembeshe our house... Wife wangu anakuja the day after moro. Sitaki amkute huyu dem.. Nifanye nini??
Posted on: Sat, 02 Nov 2013 11:04:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015