Rose muhando kamtembelea yesu, kisha kampata yesu akiwa mezani - TopicsExpress



          

Rose muhando kamtembelea yesu, kisha kampata yesu akiwa mezani akipata kikombe cha uji. baada ya salamu na kukaribishwa, yesu kamuuliza kama ni nini ujio wake. Rose: nibebe, nibebe, tafadhali yesu nibebe. yesu akamwangalia kwa huruma kisha akaona tena huyu ako na shida, venye amekuja na mini skirt ya fundi kasahau na champali za kutoboka kwenye visigino, haki sitamuacha. yesu kambeba na kumtia mgongoni, Rose alivosikia raha ya mgongo, mara ameingiza kichwa ndani mara ametoa, mara Rose kaona watu wa kijijini kwao, hapo kasimama mgongoni na kuruka ruka, njooni wenzangu muonje utamu wa yesu, mimi nimeonja na nyinyi njooni muonje utamu wa yesu. Yesu kavumilia rose muhando akiruka mgongoni lakini mwishowe akachoka, dah!! akamuachilia chini pwaaaa!! shauri yako pia mimi nimechoka. waah!! jamani Rose hana lakufanya ameangushwa chini, kwa maumivu Rose alitapatapa mchangani akimwambia yesu, oooooh!! kumbe ndivyo ulivyo, oooh!! kumbe ndivyo ulivyo. muwe na wiki njema wapendwa..
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 07:21:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015