SIPOCHEKA HAPA NAMBIE: JAMA-mjomba mi nimechoka maisha gani - TopicsExpress



          

SIPOCHEKA HAPA NAMBIE: JAMA-mjomba mi nimechoka maisha gani haya, MJOMBA-mwanangu ndo maisha ya mjini JAMAA-maisha ya mjini kula ugali na picha ya dagaa?,yani imefika kiasi 2na oga kwa picha ya sabuni nimechoka bwana mi naenda MJOMBA-kwaiyo mwanangu mm apa sina hata pesa huko kwenu unaenda na picha ya basi..... Hahahahahaha!!!!! Umecheka hujacheka? kma umecheka Like Pge Hii facebook/pages/Tznews-70/1411621802400342
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 20:32:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015