STORY """""#HURUMA_YApEKEE"""""" SEHEMU YA 2 ILIPO - TopicsExpress



          

STORY """""#HURUMA_YApEKEE"""""" SEHEMU YA 2 ILIPO ISHIA ilikua siku ya jumatano Junior Musiba Choggo alienda shule ila #GEMAH alimwambia mboma jan na juzi ujaja shule junior akamwambia nilikua na dizain maisha yako gemah akujua huo msemo unamaan gani alimuuliza tena ila akujibiwa muda wa mchana ulipo fika junior alitoroka shule akaenda kumsubiria gemah njia kwenoli muda ulifika wa wanafunzi kutoka shule na gemah alitoka akiwa njian alisikia sauti ikimuita gemh ..! gemah..! kugeuka alishangaa kumuona junior akamuuliza kwanini umetoroka shule junior alimuambia kwani leo ni lini alijibiwa kua ni jumatano kisha akamuuliza ni siku gani kwako ila gemah alisita kisha akamjibu kua ni siku yangu ya kuzaliwa kisha akiwa anataka kuongoka juniora alimshika mkono na kumpa hule mfuko gemah kuangalia ndani akuamini alicho kiona akamsogelea junior na ku......... ENDELEA SASA alimsogelea junior na kumkumbatia huku machozi ya kimtoka maana akuamini zawadi alizopewa na ndo ilikua siku ya kwanza kwa #gemah kupewa zawad waliagana pale ila junior alimbusu gemah kisha wakaagana wkila mtu akaondoka gemah alijiuliza sana juu ya busu alilokua amepigwa na junior alipofika nyumba aliingia mpaka chumbani kwake akaweka zawad zake kisha akamsaidi mama yake kazi kama kawaida yake ksha aakaenda chumbani kwake alifungu akakuta zawadi nyingi nyingi mpak viatu kitu ambacho alijiuliza sna aliendelea kukagua ndani akakuta kuna vikeki vya kishkaji vi nne aliamua kumgawia mama yake ila mama akuuliza maan anajua wanafunzi #GEMAH alivyo fungua ile kadi alikuta barua aliisoma kisha akatabasamu sas sijuhi ilikua imeandikwa nini kesho yake asubuhi na mapema gemah aliamka kama kwaida alipiga usafi nyumbani kisha alioga na kwenda shule ila siku hiyo alitoka mapema sana aliamua kupita kwa junior kufika tu akakutan na junior walielekea shule wote huku wanaongea mengi lakini junior akusikia chochote kuhusu ile barua akaamua kumwambia gemah vp uliona barua yangu au vp gemah alitabasamu kish akamjibu ndiyo na nimekubali ila sis bado tunasoma...? junior alimwambia usijali mpenzi gemah alis2ka sana kuskia hilo jina kisha akamwambia mbona unaniita mpenzi kwani mm ni mke wako ila junior alimuelewesha wakachekean muda huo walikua wanakaribia kufika shule junior aliamua kumpiga busu tena gemah ila sikuhiyo alichanganya na juice kidogo apo gemah alibaki akishangaa sana ila akaamua kumpa junior hiyo juice maan hata yeye alikua tayari kasha mpenda junior walifika shule kila mtu akaenda kwenye eneo lake la usafi ila gemah siku hiyo alikia anamuwaza sana junior juu ya busu na juice aliyoipata waliingia darasani ila kiukweli siku hiyo gemah alikua anamuwaza sana junior kila mara aligeuka nyuma kumuangalia junior shule ilitoka na walianza safari ya kurudi nyumbani walipofika karibu na nyumbani kwa juniorf gemah alimsogela junior kuashiria anataka juise ila aliishia kupewa busu kitu ambacho kilimfanya aondoke kwa majonzi moyoni alifika nyumbani akiwa na huzuni mpaka mama yake aligundua kua kuna kitu alimuuliza ila gemah alimfich akasema kichwa kina uma kama ilivyo kawaida kwa junior ijumaa waga aendagi shule maan anaendaga ziwani kuvua samaki kwa ajili ya kuuza na mboga nyumba kiukweli junior alikua akijituma sna juu ya kazi maana baba yake alikua ajiwezi kivile siku hiyo junior akiwa ziwani alijituma ili ampelekee samaki mpenz wake ijumaa hiyo pia ilikua ya majonzi kwa gemah maana akumuona junior mpka akatoka shule ila akubahatika kumuona hapo sas ndo aliumwa sana jumamosi asubuhi na mapema ka kawaida mama yake gemah aliamka na kwenda mtoni huku nyuma gemah akifanya kazi za nyumbani na kwa upande wa junior baba yake alikuja kumpokea kutokana na kazi ambayo junior aliifanya usiku kwa kweli juinor siku hiyo alipta samaki mpka baba yake aka mwambia jee wataisha akachukua samaki wengi wa nyumbani ili akatoe hapo kidogo ampelekee gemah alifiki nyumbani kama kawaida akaoga kwanza kachukua baadhi ya samaki kisha akaanza safari ya kwenda kwa gemah maan kwo na kwakina gemah palikua na kaumbali kidogo alipokua kwa mbali alimuona gemah akifagia ila gemah akumuona mpaka alipofika karibu gemah ndo alimuona alimkimbilia na kumrukia kisha kumkumbatia akiwa kamkumbatia mama yake gemah naye ndo akawa ana toka mtoni na kumkuta gema akiwa na junior wamekumbatiana jee unajua nini kilitokea hapo usikose kesho gonga like kama umeipenda
Posted on: Mon, 26 Aug 2013 15:52:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015