Sikiliza kipindi cha FAMILIA (1) toka Jamii Production Karibu - TopicsExpress



          

Sikiliza kipindi cha FAMILIA (1) toka Jamii Production Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA ambacho kinaandaliwa na kutangazwa na Dada Georgina Lema katika studio za Jamii Production hapa Washington DC Katika kipindi hiki cha kwanza, Georgina anaungana na wageni wake Bwn Hezekia Mwalugaja na Bwn Jacob Merere kuiangalia FAMILIA kwa mtazamo wa nyumbani Tanzania na hapa. Hiki ni kipindi cha kwanza na kimoja kati ya vingi vitakavyokujia kutoka kituo hiki cha kijamii jamiiproduction.blogspot/2013/10/sikiliza-kipindi-cha-familia-1-toka.html
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 14:35:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015