Sometime i tend to hate myself kwanza nikiangalia hii life yangu - TopicsExpress



          

Sometime i tend to hate myself kwanza nikiangalia hii life yangu nacheki nika life ya wasee wengine ni fine kuliko yangu najiuliza many questions how comes life ya msee flani iko poa bana. Na siati namskilia wivu am not jelous of other peoples life. Niucheki wasee wengine nika wau kuwa na kismart kuniliko but naka down naanza kuona kuna wengine wako na life worse kuliko hii napitia. Naanza ku appreciate God kwa hii life amenipea ju ata wenye wamepewa vitu zingine kuna vitu wau luck but miniko nazo. unaeza cheki msee kwao ni masource na life yake nika imejaa raha but ukichunguza poa unapata ana freedom na kwa familia daily nima arguments akuna peace bana. So ata ka wewe uko nashida na sazingine uanza kuji dispise ka tu down ufikiria utaona some positive things about your life.
Posted on: Sun, 07 Jul 2013 15:15:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015