TAARIFA KWA UMMA Leo tarehe 09/06/2013 asubuhi kampuni ya MC Amos - TopicsExpress



          

TAARIFA KWA UMMA Leo tarehe 09/06/2013 asubuhi kampuni ya MC Amos & Wende catering walikuwa wageni walaalikwa wa mfano kwa wajasiliamali waliofanikiwa kutoa huduma,Katika sherehe hizo zilizofanyika Police barracks Kurasini Dar-es-salaam mgeni rasmi alikuwa IGP (Inspector General of Police) Said A. Mwema.Kampuni iliwakilishwa na Mkurugenzi wa Wende Rizick Mgana na alipata nafasi ya kutoa ushauri kwa wajasiamali wengine wadogo.Picha zaidi zitapatikana mcamos.blogspot hapo badae. 0717232433 Stewart Njelekela Afisa uhusiano
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 07:53:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015