TAFRIJA! “Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye - TopicsExpress



          

TAFRIJA! “Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?Au,nani aliyempa yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa kitu hicho? …Ni siku ya nne katika mwezi huu wa Novemba. Hujambo ndugu abiria mwenzangu na tumsifu Yesu Kristu! Karibu sana ndani ya Chariot tufungue juma hili pamoja. Mimi Mc Judy nitakuwa nawe hadi tutamatishe safari yetu mwendo wa saa kumi kamili. ...TANGAZO!.Kuanzia leo,kila behewa litatengewa nafasi ya nyimbo tatu kila siku kuanzia siku ya Jumatatu hadi Alhamisi.Wakilisha kupitia SMS 22669,kuanzia saa sita hadi saa sita unusu. …H/W…Waroma 11:29-36….Umesoma na kujifunza yapi? Wakilisha behewa lako! …Hii leo,tunaaza kupigia kura/kupendekeza nyimbo zitakazoingia katika orodha ya 21 zilizovuma!Wewe wauchagua wimbo upi? Haya,pata nafasi yako tuchangamke pamoja!
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 08:59:02 +0000

Trending Topics



in-left:0px; min-height:30px;"> IMC HOLIDAY PICK of the DAY: Herbie Hancock, The River, featuring

Recently Viewed Topics




© 2015