TUANA ENDELEA NA EPISOD YA 3 MAPENZI YA DHATI KISHA USALITI - TopicsExpress



          

TUANA ENDELEA NA EPISOD YA 3 MAPENZI YA DHATI KISHA USALITI Baada ya polojo za hapa na pale Maganga na Nicah, Maganga akaona bora seme ya moyoni yaliyo kuwa yanamsibu. Maganga: Nicah samahani sana naomba unisikilize kwa makini nimeona bora niseme. Ni sikunyingi nilikuwa natafuta mpenzi aliye mwelevu mvumilivu na msikivu. NICAH: kweli lakini kumbuka wewe bado ni mwanafunzi kwa nini unaarakia mambo ya wakubwa Maganga. MAGANGA: Nicah nicah sio kama nina harakia mambo makubwa, kumbuka nina moyo tena ulio jaa upendo mkubwa na mapenzi hayachagui mkubwa,mtoto tajiri wala masikini NICAH: mh! sijui hata umewaza nini nini kikubwa kinacho kusibu hili nikusaidi kukupa ushari Maganga. MAGANGA:tatizo kubwa ni wewe Nicah NICAH: mimi kivi Maganga unaniogopesha MAGANGA:mimi nakepanda sana wewe nitafura nikiwa nawe NICAH: Maganga unafanya nianze kukuogopa unaniogopesha mh! mi nakata simu usiku mwema MAGANGa:Nicah Nicah wangu usifanye hivyo daya ya tatizo sio kulikimbiani kulitatua tatizo. hallo hallo hallo jamani amekata simu nika ITAENDELEA
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 18:23:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015