Tuangazie KIGANJO - Inajulikana kwa jina la utani UNJOS ama VUMBI - TopicsExpress



          

Tuangazie KIGANJO - Inajulikana kwa jina la utani UNJOS ama VUMBI AMA MATOPE NI WEWE ADVANTAGES 1. Low cost of living (kama unaweza maliza food ya 50 bob kiganjo una shida, ama labda umevuta bangi) 2. Its the only estate in Thika which got more than 3 routes a. Via kiangombe b. Via kamenu c. Via kiandutu d. Pia unaeza penya straight hadi kisii then urudi na njia ya munyu hadi kiganjo 3. Security ni sawa 5. Closer to Nairobi compared to most estates except Kiandutu n witeithie 6. _______ DISADVANTAGES 1. It is just an improved athena 2. Vumbi/matope 3. Washamba 4. ________
Posted on: Thu, 21 Nov 2013 16:54:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015