Tunawatakia asubuhi njema. Vipindi vyetu vya siku ya - TopicsExpress



          

Tunawatakia asubuhi njema. Vipindi vyetu vya siku ya leo:- 05:00-09:00 Kumekucha na Kyela FM 09:00-12:00 Mama Land Special 12:00-13:00 Leisure Time 13:00-13:30 Tunajiunga na DW kusikiliza taarifa za ulimwegu. 13:30-16:00 Afternoon Beats 16:00-18:00 Kata Kiu 18:00-19:30 tunajiunga na DW na BBC kwa taarifa za ulimwengu. Tutaendelea kukujuza kinachojiri, karibu tuwe pamoja kwa wale mlio Kyela, Rungwe, Makete, Ileje, Karonga Malawi twendeni pamoja. Kwa wale ambao mko mbali tunajiandaa kuwafikia.
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 03:58:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015