UPANDE WA PILI sehemu ya 42 MTUNZI: MOON SIMU: - TopicsExpress



          

UPANDE WA PILI sehemu ya 42 MTUNZI: MOON SIMU: +255714419487 sasa ilipofika mida ya saa 8 usiku niliona mtu ukutani SONGA NAYO lakini sura yake haionekani vizuri nilibaki namuangalia lakini sikumfahamu ni nani ila yupo kama wa kike vile. Mara nikajikuta nimepitiwa na usingizi wa ghafla bila kujitambua na wala kujua yule mtu kafanya nini pale. Nilipokuja kuzinduka nilijikuta nipo geto kwangu lakini nilikua siwezi hata kutembea wala kuinu miguu kitandani. Na muda nilikua nashanga shanga kua nani alienileta hapa? Japo ni sahihi kuwa hapa lakini ni nani ndio kanileta hapa? Niliwaza lakini sipati jibu na muda niliokuja kuzinduka ilikua ni asubuhi mida ya saa 4 na sina kumbu kumbu yeyote ile kuusu jana ila ninachokumbuka tu ni kubakwa na wale wamama na kupigwa marungu. Ila kuusu alionileta hapa simkumbuki. Nilijitaidi kushuka kitandani lakini sikuweza kabisa nikajitaidi kuinua shingo ili nichungulie dirishani. Nilifanikiwa kuchungulia lakini ilikua ni kwa nje upande wa bara bara. Nikaweza kumuona sauda "we sauda? Sauda? Sauda" "nani ananiita?" Alikua bado hajaniona kua nipo dirishani "ni mimi apa" "waaoo chidi mpenzi ulikua wapi? Fungua mlango" "kwani umefungwa na kufuli?" "ndio. Toka jana" "ayaa sasa funguo itakua wapi?" "na jana hujaniachia jamani chidi nimekumis mpenzi" Mmh huyu mtoto bado sijamkubalia rasmi lakini kashaanza kuniita mpenzi. Anakichaa kweli huyu "lete hio funguo basi nikufungulie" "funguo?" Nikajiangalia nikajikuta nipo uchi wa mnyama tena nanii yangu ina maumivu na mabaki baki ya MANII. Sasa nikakumbuka jana kua funguo niliiweka kwenye mfuko wa suruali na suruali yeynyewe hapa haipo sijui ipo wapi "sina funguo sauda" "sasa tutafanyeje chidi?" "mwambie mama ako kama anayo ya akiba" "sawa" aliondoka na kwenda kwa mama ake kisha akarudi "kasema hana, kwani we umeiacha wapi?" "ni stori ndefu sauda we tulia tu" "jamani chidi sasa mi nitaingiaje?" Mara nikaskia kitu kama ufunguo ukidondoka mezani "aahh nani kadondosha huu ufunguo?" Nilikua najiuliza maswali maana pale mezani hapakua na ufunguo wala kitu chochote. Sasa ndio nashangaa ufunguo kushuka tena kutokesa juu ya silingbodi. Sikupoteza muda niliuchukua na kumpa sauda ili akafungue kisha nitajua baadae kua ni nani kauleta huu ufunguo. "huu hapa" "umeuona wapi?" "ulikua hapa mezani" Nilimdanganya maana ningemuambia kua ufunguo ndio umekuja sasa hivi angeuliza maswali mengi. Sasa sauda vile alivyoenda kufungua Mara nguo zangu nazo zikaletwa tena zilikua zimefuliwa na zinanukia marashi balaa. Sasa nikawa nashangaa ni nani kazileta? Maana nikiangalia huku na kule sioni mtu jamani sasa atakua ni nani? Mara sauda kafanikiwa kufungua "sasa ni nani kakufungia kwa nje?" "usiseme ni nani kakufungia kwa nje, sema nimeingiaje humu?" "mmhh makubwa, haya nambie mpenzi" "wee usiniguse usiniguse" "una nini?" "we niache tu" "sasa si useme afu upo kama unaumwa eeh?" "ndio, ninaumwa balaa tena ni mwili mzima" "tatzo ni nini?" "viungo vyote vinauma" "jamani sasa nitakufanyaje, aah ngoja nibandike maji ya moto" "maji ya moto ya nini?" "si nikukande kande" "sawa fanya ivyo basi kama itaseidia" Sauda aliwasha jiko la gas fasta fasta na kubandika maji ya moto. Baada ya dk 10 maji yalikua tayari kwa matumizi. "chidi huna hata kitambaa humu kwako?" "sina labda lile dasta pale" "eeh lile litafaa" Basi sauda alianza kunikanda kwenye magoti taratiibu "ayaa ivi huna dawa ya kukandia miguu?" Sauda ndio aliniuliza "sasa mimi dawa nitaitoa wapi?" "ngoja basi nikachukue ndani kwetu" "sawa harakisha basi" Basi sauda alitoka na kwenda kuchukua dawa ya kuchanganya kwenye maji ya moto. Sasa sauda alivyoondoka tu huku niliko nikapitiwa na usingizi wa ghafla ghafla tu na wala sijui ulipotokea usingizi huo "we chidi mbona unapenda kulala ivo?" "we chidi? Chidi bwana amka basi?" "we chidi??" Alinipiga kibao ndio nikaweza kuamaka "eeh eeh eh? Nini mbona unanipiga?" "sasa ivi tu tayari unakoroma?" "nakoroma nini sasa?" "aisee unausingizi mbaya mmh" "sasa unafanyaje apo?" "si ndio naichanganya?" "nini?" "ahaaa Achana na maswali yako ayo" "afu ayo maji ya moto ni ya nini?" "hee makubwa, eti maji ya moto ni ya nini" "sasa si nimekuuliza jamani?" "si nataka kukukanda viungo" "kwani naumwa?" "hee ivi we upoje mbona upo ivo leo?" "sasa si useme" "ndio ulikua unaumwa hata kuinuka huezi" Kweli nikakumbuka nilikua naumwa tena nilikua na maumivu makali mno. Lakini cha kushangaza nipo vizur kuliko hata siku zote. Nikajaribu kusimama "hee mbona umepona chidi?" "hata mi nashangaa" "we chidi utakua sio mzima wewe" Lakini nikakumbuka kua si hili tu peke ake. Maana nimeletwa hapa na mtu ambae simfahamu sasa je atakua ni nani huyo? Sasa tukiwa bado tunashangaa shangaa. Ilitupwa barua pale juu ya meza "chidi nani kaweka hio?" "nini? Haaa" "isome" "mh mh" "isome tu" "nitasomaje kitu sikijui?" Nikajikaza kuisoma barua ile (KUANZIA LEO SITAKI KUKUONA NA WATU WAZIMA AFU ACHA UMALAYA LAA SIVYO UTANITAMBUA MIMI NI NANI) nikampa sauda nae aisome "chidi kwani we ni malaya?" itaendelea usikose like/cmnt
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 02:44:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015