Ukerewe is the Number One Largest Inland Island in Africa (t)group - TopicsExpress



          

Ukerewe is the Number One Largest Inland Island in Africa (t)group inawasihi wachumi wa wilaya ya Ukerewe kuishauri serikali kufufua uwanja mdogo wa ndege wa Nkilizya-Ukerewe! (t)group inasikitishwa na kitendo cha uwanja huo kuachwa na kutelekezwa ili hali tunafahamu kuwa ndo njia pekee ya haraka ya usafiri zaidi ya meli na ferry katika anga ya kiusafiri kisiwani hapo! Pia kundi hilo limeongeza kuwa kichumi uwanja huo ingekuwa sehemu ya vyanzo vya kuharakisha utalii kisiwani hapo na kama ingine ya kuchochea mzunguko wa fedha na kupanua shughuli za kikipato kisiwani hapo! T-group inawasihi wachumi hao kuwa na akili mfano wa samaki aina ya furu ambayo hufikiria kwa haraka sana katika kila dakika!
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 05:34:46 +0000

Trending Topics



div>

Recently Viewed Topics




© 2015