*Uzuri wa Ramadhani c tambi kwa hiliki £=bali kusoma Qur-an kwa - TopicsExpress



          

*Uzuri wa Ramadhani c tambi kwa hiliki £=bali kusoma Qur-an kwa wingi. *Wala c uji kwa ndizi £=bali ni kumuomba MOLA a2hifadhi. *Tena c chapati kwa mchuzi £=bali ni kuacha yote ya kipuuzi. *Na wala c juic kwa sambusa nyama £=bali ni kuomba istighfar kwa Maulana. *Pia c daku la wali wa nazi £=bali ni tahajudi kwa wingi. "MOLA A2FIKISHE KUUDIRIKI MWEZI WA RAMADHANI NA KUPATA FADHILA ZAKE" (aamyn).
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 11:13:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015