WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA - TopicsExpress



          

WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali linabeba maksi kumi iii. Zingatia mpangilio wa kazi. iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU. MUDA; Masaa matatu. SECTION A. 1. Kwa kutumia mifano hai, elezea chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west. 2. Taja tofauti kuu nne kati ya MLIMANI CITY na QUALITY CENTER. 3. Kwa kutumia maeneo ya samakisamaki, Coco beach, Steers, na Kunduchi beach resort elezea maana ya neno BATA. 4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana na mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na kujipaka carolight vinachangia vipi kufanya penzi lichanue? Fafanua!! Tumia mifano hai ya maboyfriend wa watoto wa kishua 5. Kwa kutumia tamthilia za MARA CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke katika jamii. SECTION B 6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha ele
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 08:48:52 +0000

Trending Topics



o a well. The animal

Recently Viewed Topics




© 2015