WEKA MBALI NA WATOTO. →UTAFITI YAKINIFU >8% tu ya wanawake - TopicsExpress



          

WEKA MBALI NA WATOTO. →UTAFITI YAKINIFU >8% tu ya wanawake wanaopatia mimba nyumbani ndiyo hupata nafasi kufunga harusi maishani mwao. >kati ya wanawake waliozaa kabla ya kuolewa ½ yao ndiyo huolewa na wanaume waliowapa mimba, na 15% hawaolewi kabisa maishani mwao >60 ya wanafunzi wa secondari wapatao mimba hupata wakiwa kidato cha pili au cha tatu, na hiyo mimba kugundulika akiwa kidato cha tatu au cha nne >40% ya mimba wanayopata wanafunzi hutolewa >kati ya mimba inayotolewa na wanafunzi 60% mama zao huwa wanajua na huwa wameshiriki kwa njia moja hadi nyingine kuitoa, ni 6% tu ndiyo huweza julikana kwa baba. Via TAYARI BAAADO SI MCHEZO MZURI.
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 07:35:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015