WHY I STOPPED WATCHING SOAP OPERA. 1.Lazima kuna mtoto - TopicsExpress



          

WHY I STOPPED WATCHING SOAP OPERA. 1.Lazima kuna mtoto amepotea anatafuta mama yake ama vice versa-kwani hao watu wa Mexico hawanaga kitu ingne ya kufanya ispokua Kupotezana na kutaftana daily??aii mboss we. 2.Kuna kidame na kiboy hua znapendana hadi znaeza nyambiana kwa mdomo ju ya mapenzi-how kam hapa Kenya hua hakuna watu wanapendana hivi.kwani roho zao znakuanga na kimapenzi kya aina gani hikyo??Ningeskia raha sana ju hatungewai skia ati Nyoka kuku punda Simba na Fisi zmerapiwa!! 3.Kunakuanga na Pastor hafanyagi makosa hata!very Perfect and Holy- wooi Ngai Papa!!sa ni Kenya??akina Pastor Njoro wa kashot kamoja??ni shot ataenda ama ni mimi ataombea sasa??ai 4.Ati Jamaa anakuja usiku kwa dirisha ya Dame kumuimbia Na Guitar na choir??-Gai,,zile mitaa tunaishi uamshe watu na Maguitar usiku??kwanza utakua umepitia wapi ndio msikue hamjapatana na Karao?? na rem chances za Kupigwa Ngeta mrudi nyumbani bla viatu na mkiwa uchi are very High,,plus,,ni Guitar ntanunua ya kuimbiana usiku ama ni Rent ntalipa??ai 5.Madame wanaishingi a fairy tale life,,kupewa tumaua na tuhug 24 saba-sa seriously,,nitoke job nmechoka ka punda ya Baragoi alafu nkuje nianze kukumassage??na ni anafaa kumassage na kupea mwingine tuhug??alafu,,hizo hug ntakupea ukiwa wapi na sa hio umefungiwa na wazazi ka mtu ako jela??maua nazo,,ni Budget ya Fare na food ya hao yangu ntafanya ama ni ya Maua??NKT 6. ............??????....(add more)
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 12:15:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015