Waathiriwa wa mashambulizi ya 1998 wakumbukwa TZ 2 Julai, 2013 - - TopicsExpress



          

Waathiriwa wa mashambulizi ya 1998 wakumbukwa TZ 2 Julai, 2013 - Saa 09:00 GMT Facebook Twitter Google+ Tuma kwa rafiki yako Chapisha Rais wa Marekani Barack Obama ameweka mauwa kwenye makaburi ya waathiriwa wa mashambulizi ya mabomu dhidi ya ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998, kama ishara ya kuwakumbuka. Raia 11 wamarekani waliuawa katika shambulizi hilo lililofanywa na kundi la kigaidi la al-Qaeda ambaklo lilifanyika wakati mmoja na shambulizi lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi, Kenya. Taarifa zinazohusiana Tanzania Obama aliuungana na rais mstaafu wa Marekani George W Bush kwa kumbukumbu hizo. Rais Obama yuko katika mkondo wa mwisho wa ziara yake ya pili ya Afrika akiwa rais , ambapo alitembelea Senegal na Afrika Kusini. Aidha Obama pia atamtembelea kituo cha kuzalishha umeme kinachomilikiwa na Marekani nchini humo, kufuatia tangazo lake mwishoni mwa wiki la mradi wa umeme utakaogharimu mabilioni ya dola. Mradi huo wa miaka mitano, unatarajiwa kusaidia kuongeza kasi ya uzalishaji wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara,kwa ushirikiano na mataifa ya kiafrika pamoja na sekta binafsi. Akiwa nchini humo, Obama pia anatarajiwa kuzindua mpango unaonuia kusaidia nchi za Afrika Mashariki ikiwemo, Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda kushirikiana kibiashara. Wakati huohuo, mkewe Obama, Michelle anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa wake za marais, unaoandaliwa na taasisi ya George W Bush huku ukiongozwa na mkewe Laura Bush. Taarifa zinazohusiana Tanzania 1234567Sikiliza/Tazama previous Usafiri waimarika DRCTazama Kiwanda cha mafuta Mombasa hatariniTazama Idadi ya wakimbizi yaongezeka AfrikaTazama Polisi wakana kumshambulia Meya UGTazama Morani wajitosa kwenye KricketTazama Vitisho vya Generali Sejusa kwa UGTazama Uingereza yawatendea haki Mau MauTazama Ajikimu kwa sanaa ya majenezaTazama Uchafuzi wa mazingira Niger DeltaTazama Je ni kweli Afrika ni bara maskini?Tazama DJ apongeza AU kwa nyimbo LondonTazama Msanii Jaak anayetumbuiza kwa AfrikaansTazama Yoga yafunzwa magerezani KenyaTazama Wahusika wa dhulma Kenya wawajibishweTazama Usafiri waimarika DRCTazama Kiwanda cha mafuta Mombasa hatariniTazama next Habari Muhimu RSS Sherehe za siku ya kuzaliwa Mandela kupangwa 08:07 GMT Waathiriwa wa mashambulizi ya 1998 wakumbukwa TZ dakika 17 zilizopita Makao ya chama kikuu yavamiwa Misri 01.07.13 Picha Mahasimu wa kisiasa walumbana Misri Mamilioni ya watu walijitosa uwanjani kumpinga na kumuunga mkono rais Morsi.Wanaompinga wamempa hadi Jumanne kujiuzulu Mada kwenye habari Afrika Kusini
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 09:22:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015