Wabongo kwa #Misifa ni nouma, check hawa wanavyojipa vyeo: 1. - TopicsExpress



          

Wabongo kwa #Misifa ni nouma, check hawa wanavyojipa vyeo: 1. mzoa taka> Envromental Techncal Officer 2. Mlinzi> Thieves Prevention Officer 3. House Girl> Domestic Manager 4. Mmbea> Research Manager 5. Mbeba Mizigo> Lift Operator Techncian 6. Mama ntilie> Hunger Control Officer 7. Ombaomba> Cash Receiving Officer 8. Mnafiki> Unstable Friend Director 9. Jambazi> Highest Force Money Maker Techncian Officer.
Posted on: Fri, 18 Jul 2014 06:45:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015