Wallang Haggan leo Ijumaa ya EID MUBARAK(episode 42) Baada ya - TopicsExpress



          

Wallang Haggan leo Ijumaa ya EID MUBARAK(episode 42) Baada ya kushiba pilau bora niwaburudishe najua wengi leo wako outing....... Wakati Magreth akiwa bado hajitambui Henya anaenda kumsalimu dada ake hospital na kumuhurumia kwa mateso ya dhambi alizotenda miaka iliyopita damu nzito kuliko maji jaman anakiri kumpenda nduguye.......baada ya kurudi kutoka hospital Nathan anaomba msamaha kwa katarina kwa kichapo alichomshushia jana yake baada ya kuchelewa kurud ktk part ya loreen.... Baada ya kurud henya anamuhadithia emily hali ya magreth na anamuombea msamaha ila emily anakataa na hapo anatoka na kwenda hadi hospital na anapofika anaanza kumkejeli magreth mbele ya keneth na kumwambia aombe msamaha kwa wote aliowakosea kabla hajafa akianzia na Emily ila magreth anakua mbogo na kukiri kamwe hatajishusha wala kuomba msamaha kwa Emily...Baada ya siku kadhaa magreth anaruhusiwa kutoka na mwanae marco anakubali arud kuish kwa montenegro bibie anafurah na anapofika danny anaambiwa amsalimie bibi ake ila dany anasalimu kwa jina la magreth..bibi anaomba aitwe jina la bibi ila danny anadai mda wa kuitwa hivyo haujafika....bibi anaomba kuongea na danny ila danny anasema hana mda na ana mambo mengi hivyo anaaga na kwenda job na kuacha montenegro ktk mshangao na bibi ktk huzun na aibu.......Jane anafurah bibi kutoka hospital maana ni birthday ya marco na hapo wanaalikwa wengi akiwemo henya,emily na tomas hapo nyumbani ktk party....wanakutana wengi maadui,marafiki na wanafiki kama joana na tomas ila wanapotezeana, Marco anakarribishwa on stage na anaonyesha furaha yake na furaha ya mama ake kupona,anatumia fursa kumtambulisha jane kama ubav wake,anatambulisha watoto joana na nathan....watu wanafurah na emily na danny kupingwa butwaa ila baada ya dhiki faraja marco anavuta pumzi na kumkaribisha special one sio mourinho bali ni danny kama the lost lovely child kwa heshima zaid ya wote na Danny anafurahia sana na kwa mara ya kwanza anamuita marco baba kwa kusema "HAPPY BIRTHDAY DEAR FATHER" na wanakumbatiana hadi nathan anaumia maana hajawahi fanyiwa hivyo(kama ipo ipo tu) henya na emily wanafurah kwa hilo......magreth pia anafurah kwa hilo na anamfuat danny chemba na kumwambia kama amemuita marco baba basi anastahili amuite yeye grandma maana yeye kamzaa marco ila dany anakataa na kumwambia kama umemwomba emily msamahana akakusamehe basi na mimi ntakusamehe na kutenda utakayo bibi anabaki anatoa mimacho tu,,,,,ktk party emily na henya wanafurah kuona baba na mwana wakiwa happy ila emily anakereka na kuhisi kua marco kamwibia mwanae hivyo danny atamsahau emily ila henya anampa matumaini.........nathan anaumia kuona baba na danny wakiwa ktk furaha na anamwabia katarina huzun yake ila katarina anampooza na kumwambia aende ndani amletee baba ake zawad ya birthday na nathan anatii anafika room anabeba zawad ila ghafla karatas inaanguka maeneo ya uvunguni na ni hapo anakutana na funguo ya gari anakimbilia parking na anagundua ni ya gari la danny.....anapata hasira na kukaa room na hapo katarina anamfata baada yakuona anachelewa hapohapo anamrukia katarina na kumkaba kaw kumwonyesha funguo wanabishana nabaada ya katarina kuzidiwa anaamua kurusha mguu ktk IKULU ya natha hapo anapata nafasi ya kukimbia na kujificha..wakat huo danny anamuona na anamfuata ila kabla hajafika anamuona nathan akija kwa kasi na danny anaamua kujificha eneo hilo hilo pia na hapo Jane anakutana na nathan nakijana anaonyesha funguo za danny alizookota room kwao ila Jane anajitoa muhanga na anamdanganya nathan kua jana alimwomba danny gari lake ili atumie hivyo alimpa katarina funguo amwekee na kumtetea katarina kua hana uhusiano na danny hapo nathan anakubali maneno ya mama ake 100%( kumbuka mda huo danny na katarina wanaskia yote ktk kona walizojificha) katarina anawah kukaa ktk kiti na nathan anamfuata kwa upole na kumwomba msamaha kwa kumdhania uongo maana ameshajua ukweli na hapo katarina anatumia mwanya huo kujidai kua yeye anampenda nathan ila nathan hamskilizi na anampiga bila makosa........Jane anapata nafas na anamsema katarina kwa tabia yake na anamuasa ampende nathan maana ndiye mume wake na sio danny.......ktk sherehe emily anamuasa danny waende nae kwake ila danny anasema muda hauruhusu maana bado ana wasiwasi na maisha ya katarina ktk familia ile...mama anakasirika na kudai danny ameamua kumtelekeza na kumsaliti hivyo anamthamini sana katarina zaidi ya mama ake mzazi....na hapo emily anatoka kwa hasira lakini ghafla anakumbana na marco na wanakasirikiana sana kwa emily kumtuhumu marco kwa kumuiba danny wake ila marco anajishusha saaaaaana na kumpooza emily na hapo wanasogeleana kimahaba na kusogezeana nyuso,pua na midomo ila ghafla fataki za party zinzwashtua na wanaachiana(mda huo wote magreth na jane wanayashuhudia hayo kwa mbali ila wao hawajui)..........magreth anashikwa na bumbuwaz na anampigia bwege wa emily simu(miguel) na kumtonya yote kua emily na marco wanaonekana wanakaribia kurudiana hivyo wafanye wawezalo kutoruhusu hilo kutokea.........muda si muda emily anakutana na Jane akiwa ktk hasira na wanakoromeana kwa kumtuhumu emily kutaka kumuiba mumewe na kama ujuavyo emily jasiri asiependa kushindwa anakiri live kua BADO ANAMPENDA MARCO......na akumbuke kua WANANDOA NDIO HUVUNJA NDOA ZAO.....Jane hakubal na anadai marco ni mumewe na anampenda yeye tu ila emily anamkashfu na kusema ndio anakupenda kama mkewe ila sio "REAL LOVE" jane analia na joana anatokea ghafla na kuskia maneno makali anaamua kumpiga emily kofi zito na anamfukuza atoke kwao(kumbuka mda wote huo marco yuko kajibanza akiyaona na kuskia yoooooote bila kujitokeza).........baada ya party wakiwa chumban jane anakua tofaut na kumuuliza marco kama anampenda emily???marco anakataa kila kitu ila jane anakiri aliwaona wawili wakiwa katika poz ya romance still marco akakana na kudai walikua wanatatua mambo ya danny....jane anakasirika na kutoka kwenda kuandka barua huku nyuma marco akawa anawaza maneno ya emily alipokir kumpenda na wakat wakiwa ktk poz la romance.....asubh marco anamuulzia jane na prela anakiri kua jane katoka na begi ila kaacha ujumbe wa karatas wa marco na anampa ausome......unasomeka hivi "NINAONDOKA ILI NIKUPE MDA WA KUFIKIRI NI NANI UNAEMPENDA KATI YA EMILY NA MIMI.....ILA KUMBUKA NINA UPENDO WA DHATI KWAKO"....................Dnny anaenda kumsalimu emily na baada ya mda emily anapata simu kua hugo ameonekana enao moja liitwalo "bernado island" haraka haraka anamwambia James ajiandae waende nae huko ila danny anahis kuna mtu anawachezea hivyo anataka ne aende huko cha ajabu emily anakataa kampan ya danny na kusema kua danny ni montenegro hivyo hiyo mission haimuhusu hata kidogo...danny anaumia sana(kumbuka simu imepingwa na Tomas ila wao hawajui hilo na tomas kwa sasa anafanya kaz kampun ya guiddot)..........nathan anapata taarifa mama hayupo home na anapowasiliana nae anamwabia anaenda kupumzka ktk New serbul island nathan anakimbilia airport aende na mama ila wanapishana kidogo..................ni siku moja na mda mmoja ambapo majangili wawili wanaonekana kutega bomu kati ya dgege ndogo mojawapo.......emily akiwa na james wako na ruban wao huku jane akiwa na ruban wake pia eneo moja bila wao kuonana na ndege kuanza safari ila baada tu ya kuruka dk.5 ndege mojawapo inalipuka na kuvunjika vipande vipande..............................#ITAENDELEAAAAA posted by https://facebook/teddy.munish
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 21:44:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015