"....Watu wa hatari kuliko wote kuhusu amani katika Maziwa Makuu - TopicsExpress



          

"....Watu wa hatari kuliko wote kuhusu amani katika Maziwa Makuu ni hawa madikteta, Paul Kagame na Yoweri Museveni, walioangamiza mamilioni ya raia wa Maziwa Makuu, wakavamia Jamhuri dada za Rwanda na Zaire (DRC) na kuangusha tawala za mataifa hayo huru, na kuipora Congo mpaka dunia nzima inawapigia mayowe kama majambazi ya hatari!...." freebongo.blogspot/2013/06/rais-kagame-amvaa-mtikilaadai-ni.html
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 06:24:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015