Wolan Sir Jah. Ni siku ingine tunajisukumia mbele yako ki SNIPER - TopicsExpress



          

Wolan Sir Jah. Ni siku ingine tunajisukumia mbele yako ki SNIPER tukiomba 4giveness zako. Tunasema asante juu ya kutuamsha smart siku ya leo na tuna kuSALUTE big juu ya kutupea uhai. Sir Jah, love yako ni great na power zako si za kusema. Achia blessings zako ziendelee kujaa kwa life za kila mmoja we2. Dad, kuna ngori most zinahappen kwa hii jungle ya life na 2nakuomba utuokoze nazo. Tupee strength yako na protection yako tukiwa kazini, tukisafiri na kadhalika. Sisi ni watenda dhambi na tunafaa NYAHUNYO ni vile tu ulituonea huruma ukamtuma JESUS asipokee on our behalf. Ooh Jah, tunaomba utupee kila mtu kaHUG na wagojwa wote uwaponye 100%. Na kwa hayo machache tunaomba na kuamini. Kila mtu agurume kaa LION na kuxema.....
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 07:11:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015