You may now kiss the bride....maneno haya huku kwetu utayasikia - TopicsExpress



          

You may now kiss the bride....maneno haya huku kwetu utayasikia zaidi kwenye madhehebu ya Kipentekoste, najiuluza hivi tamaduni za Ulaya na Amerika zinahusika sana huku kwetu eeh au ndiyo kuonesha UPENDO hadharani? Natamani kama watu/wanandoa wamelianzisha madhabahuni sasa kwanini huko uraiani wanapotezeana? Wenye ndoa zenu na mliotekeleza agizo hilo je leo hii mnaendeleza ama ndiyo sahau? Kuna suala la watu kupiga goti wakati wa kuvisha pete ya uchumba.....fulu mmbwembwe za ki-Ulaya ulaya..... Ni kama wale jamaa zangu ambao kwenye urafiki/uchumba walikuwa wakiwafungulia milango wenza wao lakini baada ya "kuzoeana" huduma imesitishwa! Mapenzi ya kizungu na uzungu siyo mambo yetu huu ni mtizamo tu. Kwa sehemu kubwa unafiki unahusika basi tu ni vigumu kukiri.
Posted on: Sun, 15 Sep 2013 07:55:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015