maisha ya fresha, nilifika chuo jana na kurealise nimelipa pesa - TopicsExpress



          

maisha ya fresha, nilifika chuo jana na kurealise nimelipa pesa kwa account mbaya, nikazunguka dai mzima lakini wakanionea huruma, nikamaliza admission saa moja nikapekwa hostel half a km kutoka administration lakini kufika hostel tukapata rum yetu imejaa maji tukapata refuge ktka maneighbour, choo nazo ziko kila rum na zinanuka mbovu, tuko maboiz wanne na mi nalala juu, kufika hoteli mboga sima finje mix soo chai 25 ndazi 10. wah! kumbe hii ndio maisha moi na eld town.
Posted on: Tue, 29 Oct 2013 15:01:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015