move za kikorea jaman sio mchezo mfano kama IRIS, SWALLOW THE SUN, A MAN CALLED GOD na nyengine nyingi sio siri sisi bado tuko nyuma sn tena sn tunatakiwa tubadilike jaman tuige wenzetu anagalau kidogo ili soko letu lifike nje yaan ukiangalia hz za wenzetu hautaman hata kulala pia unaweza ukarudia kuangalia kila mara sio move za kibongo ukiangalia mara moja huwez kuirudia kwakweli tunahitaji kwendelea mbele zaidi ila nasisi tuwe na soko kubwa kama wenzetu yaan naona wivu
Posted on: Sat, 17 Aug 2013 20:08:12 +0000