ngo wa makusudi wa viongozi kuiua ELIMU yetu hapa nchini na hata - TopicsExpress



          

ngo wa makusudi wa viongozi kuiua ELIMU yetu hapa nchini na hata ukiangaria mitaara inayo tumika kufundishia mashuleni kwa sasa haifai hata kidogo na watu wenye zamana na usimamizi wa ELIMU wapo sasa ina kuaje NINYI SERIKALI MUENDELEE KUFUJA KODI ZA WANANCHI WANYONGE MNAKAA BUNGENI KUPIGA POROJO BURE bila ya kuangaria taifa hiri mna lipereka wapi niaibu kubwa kuona shule hizo mnazozijenga hazina maabara wala warimu hivi ninyi viongozi nanyi famiria zenu zinasoma katika shule hizo zinazofanya vibaya sirahisi mtoto wako wewe kiongozi utampeleka LONDON UINGEREZA MAREKANI INDIA UFARANSA na ndio maana hamna uchungu na hiri watoto hawa wa masikini ndio wataendelea kupata ELIMU YA KUBABAISHA BABAISHA TU matokeo yake ni KUTENGENEZA MABOMU YA MITAANI wanafunzi wengi sana wanaferi katka secondari za kata na wanapo feri hurudi mitaani NINYI VIONGOZI MLIOAPA KUWATUMIKIA WATANZANIA KWA MOYO MKUNJUFU KISHA MMESHINDWA KUTEKELEZA MAHITAJIO YA WALIO WENGI ANDAENI KITANZI CHA KUNYONGEWA KESHO KWA MWENYEZI MUNGU NA.
Posted on: Fri, 25 Oct 2013 21:20:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015