nna wasi wasi na WAFU EFU EMU, sku hizi hawagongi ngoma za Roma - TopicsExpress



          

nna wasi wasi na WAFU EFU EMU, sku hizi hawagongi ngoma za Roma Tongwe ( Roma mkatoliki) kisa tu eti anapiga picha na team Anaconda, aaaaaaaah! kisa picha! so hata mm nikipiga picha na Team mikausho kama sanamu ndo na mm nakuwa member wao? siyo kosa lao. ni kosa la upeo mdogo na ufinyu wa fikla zao. yule Ninja tunajua fika kuwa ana uswahiba wa karibu na DJ CHOKA. Choka sawa yuko Anaconda tunajua. so mnataka Roma aache uswahiba Choka kisa yuko Side ya Anaconda? " Fanya uchunguzi utagundua kuwa hata FIESTA ya mwaka huu Roma hakupewa shavu la kupiga show mkoa wowote, Hata kwao Tanga mmembania show? ki uhalisia kabisa wafu efu em hawakupaswa kufanya hivyo unless kama wangemuuliza ninja kama yuko Anaconda au holaa but siyo mtu umemuhisi tu "oooh huyu ni team nanii, msipige nyimbo zake, msimpe show, afu tumbanie mpaka apotee kwenye game" ki ukweli msanii kama roma mimi sidhani kama bado ni mtoa wa kuomba show, sizani kama bado ni mtu wa kumtetemekea mtu. kizuri kinajiuza chenyewe. afu yaani yaani ninja alisema "NAJUA MSEMA KWELI HUFA MAPEMA SIJALII... KAMA MLIMUUWA FRANI HAPA KWANGU CHUMA CHA RELI . hivyo hivyoo na mimi kwetu sikutoroka niliaga so simuogopi mtu na siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli. WAFU EFU EMU WANA PROMOTE BIFU then WANADAI WANAKUZA MZIKI .
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 06:52:05 +0000

Trending Topics



orward Paul is: Do you think I speak this
Low Cost Red Heart Super Saver Jumbo 722 Pretty N Pink Best
WOLVES LEAGUE LEADERBOARD 03.08.2013. R.br. Prezime Ime
A mother is in the kitchen making dinner for her family when her
Perbedaan Mendasar Antara PRIA dan COWOK Inilah Perbedaan
was just girl-about-towning in South Kensington this evening (as
2 Crônicas 24 - 1. TINHA Joás sete anos de idade quando
A leading Oil & Gas company is looking to fill the 2 following

Recently Viewed Topics




© 2015