*singing* kuna wanaouliza mbona, nikupende ww hani na kunao - TopicsExpress



          

*singing* kuna wanaouliza mbona, nikupende ww hani na kunao washangaa, ninampenda nani leo majibu nawapa, nampenda fulani leo sina budi kutaja, nampenda na sifichi raha yao kuona bby umenuna kila nikipostia mwingine bby unalyk sijakosea hata kidogo nakupa psyche lazima waseme waelewe mahater watashtuka wakijua kwamba harusi ishapita wakipanga kuharibu mtoto tushapata usiwaskize bby nafasi yao kwetu tunaipa chawa afadhali niseme mapema kabla sijapangawa Lenah Msupa enyewe nakupenda....... *hides for safety*
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 15:11:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015