wapendwa na wapenz wangu woteeeeeeee napenda kutoa taarifa kuwa - TopicsExpress



          

wapendwa na wapenz wangu woteeeeeeee napenda kutoa taarifa kuwa sitakuwa nikipost picha aina yoyote ile inayo nihusu kiuhasilia zaidi picha za kubun(SANAA) kwa usalama na kujihadhari na kufahamika vinginevyo tupopamoja...hii ni kwa ujio wangu mpya nikijaaliwa kufika 2014...SKENDO UNAJITENGENEZEA KUPITIA PICHA UNAZO POST TUJITAZAME KWANI WENGI WA JAMAA WANATUMIA PICHA ZA WATU KUFANYA UHARIFU JIANGALIE HAUNA PICHA YENYE MFANO PASPOT SIZE...NAJUA WENGI NITAWACHANGANYA LAKINI HILI NIMEGUNDUA BAADA YA KUTUNGA STORI INAYOENDANA NA MAISHA YA VIJANA KATKA MTANDAO HIVI HAUJIULIZI KWA NINI UNATOA TAARIFA ZAKO BINAFSI ZOTE PASINA KULAZIMISHWA NA KUZITUPIA KATKA MTANDAO....IKITOKEA MTU AMEZIDAKA NYARAKA HIZO MUHMU JEE....KAMA HUJANIELEWA ANGALIA MOVIE YA TRAVELLER.....HAPO UTAELEWA VEMA NINI NAKUSUDIA TUBADILIKE MI NIMESHAFUTA ZANGU ZAKOJEEEE
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 11:09:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015