(y) Hii ndo tanzania (y) HII NI TAARIFA MBAYA SANA INAYOTISHIA - TopicsExpress



          

(y) Hii ndo tanzania (y) HII NI TAARIFA MBAYA SANA INAYOTISHIA UWEPO KTK MITANDAO YA SIMU. Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeshatuma waraka kwa kampuni zote za simu nchini kudai malimbikizo ya tshs 3,000 kwa miezi ya July, August na September kutoka kwa kila mtumiaji wa simu nchini. Yaan kama una line 3 za simu basi unadaiwa Tshs 3,000 x 3 = tshs 9,000. Je mko tayari kulipa hizo hela jaman??! Toa maoni yako. Share ujumbe huu uwafikie watu wengi zaid.
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 04:59:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015