1.umewai itwa hapo mbele ya class kama umembao. 2.Ulikuwa - TopicsExpress



          

1.umewai itwa hapo mbele ya class kama umembao. 2.Ulikuwa unajificha lunch tym siku umebeba chipo ndio usiombwe. 3.Kama umewai kojoa kwa mto. 4.Kama ulikuwa na lyrics book. 5.ulikuwa unavyb dem tumbo ikanguruma. 6.Kama ulikuwa bell ringer na ukasahau kuring bell ya kurudi class. 7.Kama ulikuwa unavaa short mbili tym hujamaliza assignment Ndio usiskie uchungu wa fimbo. 8.Kama budako alikununulia kofa instead ya oxford. 9.Kama ulitap ama kukatia mode msupa alikuwa on practise na after kumtap mkiwa practical ya chem unajificha 10.kama ulikuwa unaokoka kila mwaka tym ya weekend challenge
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 12:59:05 +0000

Trending Topics



icsexpress.com/LUNIONE-SARDA---Politica-La-politica-sempre-più-debole-topic-477178105731256">LUNIONE SARDA - Politica: «La politica sempre più debole,

Recently Viewed Topics




© 2015