COLETHA.......Mambo vipi cox dawa yao COX.......pouwa coletha - TopicsExpress



          

COLETHA.......Mambo vipi cox dawa yao COX.......pouwa coletha nambie COLETHA.......Daah cox hatujaonana siku nyingi mbna umekuwa adimu hivyo?? COX.......Si unajua mishe wangu niliendaga kusoma China nimerudi juzi kati saivi napiga kazi Bandarini yani niko bize vibaya mno COLETHA.......mmh Hongera zako cox daah umeenda hadi kusoma china mm nipo tu nyumbani sina kazi yyte yani maisha magumu balaa COX......Pole sana tatizo hututafuti watu kama sisi tukutoe hapa mjini itabidi unipe namba yako nijue jinsi ya kukusaidia COLETHA.......Dah hata siamini asante sana cox namba yangu ni 06542387... Wakati tunaendelea kuongea na mtoto Coletha nikashangaa baiskeli aina ya phonex imepaki pembeni yangu kucheki ni mshua akaniambia"We mpumbavu yani mimi nimekulipia pesa yangu usomee Cherehani umeaga nyumbani unaenda chuo kumbe upo huku unaongea na wanawake alafu nani kakuambia uchukue 2000 ya mboga pale mezani" nimejisikia soo kishenzi mshua kaja kuniharibia mpango wangu yule Coletha akawa anaondoka huku anacheka akaniambia" Yani we licox hukui tu bado ujaachaga uongo wako wewe umeniambia umesoma china unafanya kazi bandarini kumbe unasomea cherehani" mshua kuona bado nashangaa shangaa ameshuka kwenye phonex amenipiga mtama nimeanguka kwenye mavumbi mbele za watu nimesimama nimetoka nduki watu wamecheka vibaya mno nimeona sana aibu na bado nasubiri kipigo cha nyumbani daah GONGA LIKE/SHARE/ KAMA UMEIPENDA HII STORY
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 08:09:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015