DAWA ZA KULEVYA: Vigogo nchini wanyoshewa kidole TOA MAONI JINA - TopicsExpress



          

DAWA ZA KULEVYA: Vigogo nchini wanyoshewa kidole TOA MAONI JINA NA MAHALI Jamii imetakiwa kuwa msitari wa mbele katika kupambana na kuzia matumizi ya dawa za kulenywa ili kuilinda nchi dhidi ya athali zinazojitokeza mkiwemo kupungua kwa nguvu kazi ya taifa. Tanzania itaungana na mataifa mengine duniani hapo kesho katika kuazimisha siku kupinga matumizi ya madawa ya kulevya huku zaidi ya elfu vijana 20 wanaoendelea na matibabu baada ya kuathiriwa na dawa hizo nchini. Takwimu za ukamataji kutoka jeshi la polisi zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2010 hadi mwezi may mwaka huu, jumla ya kilo 742.5 za heroin,kilo 348.3 za kokeini, kilo 77,740 za bangi na kilo 16,334 za mirungi zilikamatwa hapa nchini. Licha ya Takwimu hizo kuonyesaha dawa za kulevya zimekamatwa nchini kati ya mwaka 2010 hadi Machi mwaka huu, zikiwa na thamani ya Shilingi bilioni 30. tatizo hilo linazidi kuota mizizi huku kidole kikinyoshowa kwa baadhi ya vigogo wanao daiwa kushiriki katika biasahara hii. Daktari Mkuu wa idara ya afya ya akiri mwanza Dr. Eyunise Lucas amesema dawa za kulevya bado zinazidi kuingiza nchini ambapo zinaleta athari kubwa kwa vijana. Nao baadhi ya waathirika na wanaotumia dawa hizo wanazungumzia changamoto za kuacha dawa hizo huku baadhi yao wakiwahasa vijana wenzao kutojihusiisha na matumizi ya dawa za kulevya Maadhimisho ya kupambana na dawa za kulevya yatafanyika kesho kitaifa mkoani Dodoma ambapo kauli mbiu ya mwaka huu 2013 ni Furahia Afya yako na Si dawa za kulevya MWISHO.
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 15:22:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015