Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya: Wamo CCM, - TopicsExpress



          

Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya: Wamo CCM, Chadema Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Khamis Kigwangallah, amesema amepokea majina ya wabunge, viongozi wa serikali na wafanyabiashara maarufu nchini ambao ni mapapa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Hata hivyo, Dk. Kigwangallah ambaye amepania kuwataja bungeni watu wanaojihusisha na biashara hiyo haramu, amesema baada ya kukabidhiwa majina hayo kutoka kwa wananchi, anafanya uchunguzi na kupata ushahidi ili kujiridhisha kabla hajachukua hatua ya kuwataja. Miongoni mwa majina ya wabunge aliyopewa wamo kutoka CCM na Chadema, na wafanyabiashara maarufu wote wanatoka mkoa wa Dar es Salaam. Soma habari yote hapa: chademadiaspora.blogspot/2013/09/kigwangallah-nimepewa-majina-wabunge.html
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 07:01:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015