Mtanzania na Mkenya waliingia supermarket moja jjni - TopicsExpress



          

Mtanzania na Mkenya waliingia supermarket moja jjni Dsm. Walipotoka Mkenya akawa anajigamba kwamba Wakenya ni wajanja kuliko Wa-TZ huku akimwonyesha M-TZ chocolate tatu alizoiba supermarket. M-TZ akamshawishi warudi tena ili na yeye amwoneshe ustadi wake. Walipofika ndani M-TZ akamwambia mhudumu nataka nikuoneshe mazingaombwe, hebu niletee chocolate tatu, yule mhudumu akaleta tatu, jamaa akazila zote mbele ya mhudumu halafu akasema unaona nimekula chocolate tatu, lakini amini usiamini chocolate zako zote zipo mfukoni kwa huyu jamaa! Mhudumu akamkagua Mkenya mfukoni na kumkuta nazo, akachukua chocolate zake zote tatu. NANI MJANJA KATI YAO? M-TZ au MKENYA? #kesSY jr
Posted on: Mon, 21 Oct 2013 11:36:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015