Ndio izo lyrics... Jidai by Miggy Intro: Na na na no noo... Ukiwa - TopicsExpress



          

Ndio izo lyrics... Jidai by Miggy Intro: Na na na no noo... Ukiwa najidai, Mbrr bang bang bang mbrr bang bang Ha Miggy Chorus: Kila nikiwa na wewe ninajidai…. Ninajidai Kila nikiwa na wewe ninafirahi…. Ninafurahi x2 Verse 1: Bang bang bang bang bang bang Boom!! Ninajinyce hapa na msupa wangu Mi namwita, My Bonita, ninakupenda navopenda abukato!! Macho yako yanimek shy, ukicheza ninafeel fine Umbo lako, swagga balaa, linakubali kila kitu unavaa Kama ni trench coat na mini – check Iwe ni jeans au bikini – check Iwe ni boots au heels… For real baby gal unakill Chorus: Kila nikiwa na wewe ninajidai…. Ninajidai Kila nikiwa na wewe ninafirahi…. Ninafurahi x2 Verse 2: Yo ma gal, my number one I’ll go an extra mile to make u smile When am witchu, I touch the sky That’s why u know am proud to b your guy Hadi Mombasa nitakwenda naweee Tuogelee nikifloss naweee Tukishatoka tufly mpaka Turkana Kwa akina Shon Francisco na Kempes Watupeleke Bismilahi tukule fedde! Waone mtoto vile unatesa, Vile uko made, vile unawake Wajue mbona migriman huwa naringa!! Chorus: Kila nikiwa na wewe ninajidai…. Ninajidai Kila nikiwa na wewe ninafirahi…. Ninafurahi x2 Bridge: Kanyaga left kanyaga right Taratibu ringa na mimi Kanyaga left, kanyaga right Mdogo mdogo cheza na mimi x3 Chorus: Kila nikiwa na wewe ninajidai…. Ninajidai Kila nikiwa na wewe ninafirahi…. Ninafurahi x2 reverbnation/miggymc/song/18200715-jidai
Posted on: Tue, 06 Aug 2013 13:18:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015