Swali la Kizushi na Kimjadala: Toka Mwaka 1998 tumeshuhudia - TopicsExpress



          

Swali la Kizushi na Kimjadala: Toka Mwaka 1998 tumeshuhudia matukio makubwa yanayoitwa ya ugaidi,mathalani ulipuaji wa majengo ya ubalozi wa marekani TZ na Kenya,Mashambulizi kule uganda na mara kwa mara nairobi hatimaye hili la westgate ambalo limeweka historia kubwa. Katika matukio yote lengo la magaidi limekuwa kubwa nalo ni kuua watu wengi au kuharibu mali ili ama kulipiza kisasi au kudraw attention kwamba wapo na wanaweza. Pia tumeshuhudia kuwa sio wapangaji au wapiganaji ni watu waliopata mafunzo ya hali ya juu, na wenye silaha nzito na ugaidi wenyewe huwa si tukio la kukutana ubungo au manzese ni organised crime ambayo ina chain ndefu; Je? huu ugaidi wa akina Rwakatare,Kileo,Sheikh Ponda huu una kufanana kokote na wa hawa jamaa? je ugomvi wa mtu na mtu nao ni ugaidi? Hivi na hawa jamaa kama wasingeshughulikiwa ndio walikuwa wanataka kutekeleza ugaidi kama wa westgate? Napata shida sana na tafsiri ya hili neno ugaidi Counsellor Rama MsangiMsando AlbertoJuma Kibacha Asina A OmariJohn Seka Ebenezer Ssq Mshana (Je, ipo haja ya kudefine upya term terrorism ili kuitofautisha na offences nyingine za kwenye penal code?). Facebook attorneys mchango wenu pia....if any
Posted on: Wed, 25 Sep 2013 07:12:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015