VIJANA TUFIKIRIE SANA KABLA YA KUTENDA. am xomwhr morogoro lkizo - TopicsExpress



          

VIJANA TUFIKIRIE SANA KABLA YA KUTENDA. am xomwhr morogoro lkizo lkn em ona huu mkasa; huyu dada ni mtt wa miaka 16 ana mpenz wake pia ana kaka yake wa miaka 19 sasa juz akawa ametoka na mpenz wake ucku wameenda smwhr wakanunua soda wanakunywa baadae mpenz wake akawa ameenda kujsave kumbe kaka yake naye alitoka cku ule alivyomwona dada yake amekaa alone naye akasogea kukaa pale wakawa wanapanga mbinu watakavyorudi hm wataingiaje, yule mpenz wke dem katokea hata hakuuliza akachukua ile chupa kamtwanga kaka mtu ya kichwa na dada mtu akashtuka mxela akaxema ina mana we unashtuka nan huyu b4 kjb akampiga naye chupa bas watu kuja eneo wakakuta mtu na kaka wanalia jamaa amekamatwa na kwmb yule kaka alipasuliwa sehem ya kichwa na dada alivimba uso jamaa alizan msela anamtongoza dem wake,je hawa walioumizwa watafikaje home? watasemaje na ss vjana kwnn hasira za namna hii najua wapo weng mm imeniuma sana dats y nimeandika hapa,tukio lilitokea juz kilosa moro. INAUMA SANA
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 09:02:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015