Fursa ya kutumia simu yako ya mkononi kukuingizia kipato cha - TopicsExpress



          

Fursa ya kutumia simu yako ya mkononi kukuingizia kipato cha uhakika milele na fursa ya wanamuziki wapya kupanda chati fasta kitaifa na kimataifa kupitia mtandao wa Perfect Internet Ungana na Perfect Internet na kuifanya simu yako iwe chanzo cha kukuingizia mapato milele kwa kujiunga na kuwaalika watu mpaka tarehe 01/10/2013 kwenye Perfect App. Vilevile, itakuwezesha kupata dili za bei ya chini za vitu na huduma ama katika maeneo ya karibu yako au mtandaoni kwa jumla. Utaweza kupata huduma mbalimbali kama huduma ya taxi iliyokaribu nawe, huduma ya habari unazozipendelea wewe, n.k. Vilevile mashindano ya muziki kwa wanamuziki wapya yanaanza July 2013. Kama wewe ni mwanamuziki basi usikose kuingia kwenye mashindano haya ambayo yatatangazwa ulimwengu mzima kupitia mtandao wa Perfect Internet pamoja na radio na televisheni za Perfect Internet. Hii ni fursa kwa wanamuziki wapya kujitangaza na kupata umaarufu ulimwengu mzima. Utatakiwa upakie video yako ya muziki wa aina yoyote ile hata kama ni ngoma za kienyeji na utashindanishwa na wanamuziki wengine na watu watakaokuwa wanaangalia kupitia mtandao wa Perfect Internet ndio watakaokuwa wapiga kura kwa njia ya ku “Like”. Watakaopenda mziki wako wataruhusiwa kuununuaki hivyo utaanza kutengeneza pesa wakati mashindano yanaendelea. Washindi wa kila aina ya mziki watakwenda Las Vegas Marekani kwenye fainali na watapokelewa kwa mbwembwe kwa kutumia gari za limo pamoja na kukaa kwenye hoteli za nyota 5. Perfect Internet imeingia mkataba na makampuni makubwa ya mziki ya marekani ambao watasambaza miziki ya washindi itakayotengenezwa vyema kulekule Marekani. Jiunge sasa na fursa hii ya Perfect App kupitia kiungo hicho hapo chini na ukishajiunga utaweza kwenda kwenye eneo la mashindano ya muziki kwa ajili ya kupata maelekezo kuhusu mashindano haya na baadaye kupakia mziki wako tayari kwa mashindano. Watakaopenda kuangalia mashindano haya na kupigia kura wanamuziki wawapendao itabidi wajiunge pia. Kujiunga ni bure. perfectapp.biz/?refid=2a161
Posted on: Sun, 16 Jun 2013 14:57:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015