Haki hii gover haitukumbuki masikini sasa hii pesa za kulipia - TopicsExpress



          

Haki hii gover haitukumbuki masikini sasa hii pesa za kulipia huduma ya DNA nh ghari muno na mimi kuna mtoto nilikua nataka kujua kama ni wangu,huyu msichana ananishow eti amejifungua mtoto na anadai eti ni wangu sasa nimeshhndwa nifanyaje haki si hii gover ireaduce hizo peza ndo tufanye DNA test coz i dout if these baby is real mine lakini wazeeya si munipe maujanja co3 najua wengi wenu mumepitia hapo mzaada wenu plz.
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 04:01:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015