Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye - TopicsExpress



          

Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana. Na kwa kuwa ninyi mmekuwa wana, Mungu alimtuma Roho wa Mwanawe mioyoni mwetu,aliaye, Aba, yaani,Baba. Kama ni hivyo,wewe si mtumwa tena bali u mwana; na kama u mwana, basi, u mrithi kwa Mungu.(WAGALATIA 4:4-7)
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 08:45:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015