(Hii song ni waze wa dandora) -manze hku kila mtu ni - TopicsExpress



          

(Hii song ni waze wa dandora) -manze hku kila mtu ni mkora -ukichek watoi wamebarara -skin zao ni kama za chura -kwangu ilikwa hasara -eti anakula yote mshahara -hakuna peace tally pan ni mtera -hku D Takataka ni mavara -maboys wao hata wajui kungara -wakingara hyo wamevaa tahara -secondan nyenye wameva ngara -ukitry kuwashow wanakutahara -sanasana wanapenda kuzurura -kwa njia wanawalk chest zimefura -kandokando hku wamekunja sura -kumbe wewe ndo wana kusorora -hawa waze wanabehave kama Suwara -wenge wao wanaongojea ndo za kura -wee ni boy yanini nweyele chafu shirti chafu take time kujionea Kwa mirror -brush meno kaa uongoleshe na sahra -musibehave kama watu wa bara -mupistop hata farancis muthaura -i like the changed d ile ya dharura -maisha yenu ni poa iwe imara -thanks God me naishi kibera -jirani wangu ni umego magara -yule m.p nyenye kibara
Posted on: Wed, 20 Nov 2013 09:26:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015