JAMANI FUNDI Sehemu ya 4 "nakuja kufungua mama usijali" Nikajitoa - TopicsExpress



          

JAMANI FUNDI Sehemu ya 4 "nakuja kufungua mama usijali" Nikajitoa kitandan halaka nikatungua taulo langu.Nikajifunga halakahalaka kwan siku zote upenda kulala na boxer tu. Nikasogea mpaka mlangoni kwangu nikaanza kufungua kitasa kwanza, kisha nikamalizia na misumali iliyokuwa imebakia kushikilia mlango usifunguke.Nikaufungua mlango kidogo eneo ambalo naweza kupenya kichwa na mapega tu. "samahan fundi kwa kukuamsha mapema na kaubaridi aka" bila samahan mama we sema nikusaidie nn". Nilijikuta nakataa samahan ya mama mwenye nyumba. Nikamtazama jinsi alivyokuwa kavaa mapigo yangu ya moyo yakabadilika. Viupele vya ubaridi vikanitoka kwa wingi huku nikiwa nangoja kuambiwa nilichoitiwa na mama mwenye nyumba."jamani fundi si unikaribishe ndani apa nje baridi si unacheki nilivyovaa" Itaendele akivua nguo
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 05:11:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015